Verse 1:
kila siku ninapo amka,napoianza siku mpya,,namshukuru mola kwa kunilinda nafasi nyingine nikapewa.labda nikijituma nami iko siku ataniletea,nami niwe na vyangu niepuke ya walimwengu
kukicha ni maneno maneno wenzangi hamuishi kusema,nami sijali yenu maneno mwanadamu amezaliwa anasema.....
kukosa kitu leo sio tatizo nikitafuta nitapata kesho,naamini nami ataniletea pamoja na magumu ninayo pitia.
heeeeeh.kukosa kitu kwangu sio tatizo nikitafuta nitapata kesho.naamini nami ataniletea pamoja na magumu ninayopitia.......
Verse 2:
hawajui kuishi kwa upendo,amni na furaha siku zote,maisha yetu ni uadui tu,hatujui dunia tunaipita tu.na kwenye maisha kuna kuanguka ila mi sitochoka nitainuka mpaka siku itakapofika,ndoto zangu zote kukamilika *2
Repeat chorus